salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Diamond za mwadui zinaipa serikali kipato kizuriEMA mtv mwaka huu tunzo amepewa Ali kiba na mwaka jana ni Diamond
Diamond za mwadui zinaipa serikali kipato kizuriEMA mtv mwaka huu tunzo amepewa Ali kiba na mwaka jana ni Diamond
Kipato kizuri ni kile kinachokidhi mahitajiDiamond za mwadui zinaipa serikali kipato kizuri
Mahitaji ni mengiKipato kizuri ni kile kinachokidhi mahitaji
Mengi yanasemwa ila mie nakula mkate mzima Kwa kikombe cha kahawaMahitaji ni mengi
Kahawa ni chunguMengi yanasemwa ila mie nakula mkate mzima Kwa kikombe cha kahawa
Kooni ndio sehemu ambayo usipolala vizuri na kuruhusu hewa vizuri utaishia kukoroma tu wakati wa kulala.Kumeza kitu ni shida ukiwa na vidonda kooni
Huku au kule ndiko kwenye mshindi!Vizuri jamani njooon Tutafute mshindi huku
Mimi ndio Mimi aka ngweaMshindi ni mimi
Mimi?! Nani kasema hapa sidhani kama kitaeleweka haka kamchezo katamu bwana, hakuna mshindi asilani..!Mshindi ni mimi
Mtu mfupiAsilani hashindi mtu
Mmelala na nanMbona mmelala