Tiba ya umbeya au?Asali na mdalasini nasikia ni tiba
Tiba ya niniAsali na mdalasini nasikia ni tiba
Nini bwana na wewe unaulizauliza..?? Si ukaijaribuTiba ya nini
Sijui kama utaelewaNini sijui
Tiba ya kifua cha kikohozi ndo unaponaAsali na mdalasini nasikia ni tiba
Utaelewa ukilegeza akiliSijui kama utaelewa
Nywele ukizinyoa zote unabaki na kiparaAkili ni nywele
Utaelewa ukilegeza akili
Airport hakuna mahali pa kulala machiziAkili zake changangaya na zako juzi almanusura alale air port.
Airpot siku hizi parking ni Tshs 2,000 duhAkili zake changangaya na zako juzi almanusura alale air port.
Kiukweli hupendi vya kwenuAir port ya Tanzania ni mbaya kiukweli
Kiukweli airpot inajengwa kutanuliwa zaidiAir port ya Tanzania ni mbaya kiukweli