Sana sana unampenda kwa sababu ya hela tuMjuu wangu nampenda sana
Sana sababu ana heshima, adabu na nidhamuMjuu wangu nampenda sana
Nidhamu ni muhimu hasa sehemu za kaziSana sababu ana heshima, adabu na nidhamu
Mafanikio yajaNidhamu ni chachu ya mafanikio
Mafanikio yako yapo karibuNidhamu ni chachu ya mafanikio
Mafanikio yako yapo karibu
KWANGU KUKARIBISHWA HIVYO NAANZA KUONA NATONGOZWAKaribu kwangu
Nidhamu ya uzi huu iendelee,mwacheni Ukhuty awe na uhuru wa kipekee,mshindi atapatikanajeeSana sababu ana heshima, adabu na nidhamu
Gahwa na kashata, halwa au tendeKaribu tuendelee na Gah'wa
Tende zina sukari mnooGahwa na kashata, halwa au tende
Jee mshindi yupo lakiniNidhamu ya uzi huu iendelee,mwacheni Ukhuty awe na uhuru wa kipekee,mshindi atapatikanajee
Sukari mno usiikoroge kwenye chaiTende zina sukari mnoo
Mnooo..?? Nani kasema? Unzila tu bila mashakaTende zina sukari mnoo
Mashaka ya sukari nyingi na utamu unakuwa kama asaliMnooo..?? Nani kasema? Unzila tu bila mashaka