supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Kusifie kule unapopapenda na kuridhishwa na huduma boraKwenu Kama kubaya pia ukusifie
Kusifie kule unapopapenda na kuridhishwa na huduma boraKwenu Kama kubaya pia ukusifie
Bora kula kuliko kushinda nna njaaKusifie kule unapopapenda na kuridhishwa na huduma bora
Wenzetu wameendelea na wanapenda maendeleo sio majunguZaidi na zaidi lkn hatufikii wenzetu
Duh nini sasa? Ulitaka iwe bure?Airpot siku hizi parking ni Tshs 2,000 duh
Hii ndio nzuri ukimwaga mboga watu wanamwaga ugaliNchi haihamiki hii
Bure hapana, japo ingekuwa bukuDuh nini sasa? Ulitaka iwe bure?
Buku hapana labda iwe jeroBure hapana, japo ingekuwa buku
Ugali wamahindi na wa miogo upi mtam zaidHii ndio nzuri ukimwaga mboga watu wanamwaga ugali
Thamani ya mtu ni yeye mwenyeweBuku siku haina thamani
Zaidi ugali wa mihogoUgali wamahindi na wa miogo upi mtam zaid
Bwana wee unanitamanisha jamaniMihogo ikolee Nazi na samaki pembeni wacha bwana
Bwana yupi?Mihogo ikolee Nazi na samaki pembeni wacha bwana