Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,960
Mjukuu naye ni mtu si mbaya kuishi nayeTusipofuata kujua umri unaweza kuishi na mjukuu
Mjukuu naye ni mtu si mbaya kuishi nayeTusipofuata kujua umri unaweza kuishi na mjukuu
Kuigaiga kwingi mwisho unafuliaMimi sipendi mfumo wa maisha ya kuigaiga.....
Naye utaweza kumtongozaMjukuu naye ni mtu si mbaya kuishi naye
Kumtongoza ukhuty ni rahaNaye utaweza kumtongoza
Raha kuenda kumwambia huko pm, hapa atakuona aibuKumtongoza ukhuty ni raha
Ukhuty ni mzuri nitaonaje aibuAibu huoni wew unaetaka kumtongoza ukhuty
Ukhuty anatongozekaAibu huoni wew unaetaka kumtongoza ukhuty
Ukhuty umepata bahati unapendwa na wengiAibu huoni wew unaetaka kumtongoza ukhuty
Anatongozeka kigumuUkhuty anatongozeka
Wengi wao waongo kaka super marketUkhuty umepata bahati unapendwa na wengi
Nani kakwambia? Hakuna cha nani kaniambia, AU WEWE UNATONGOZA?Anatongozeka nani kakwambia
Kakwambia wewe au kaniambia mimiAnatongozeka nani kakwambia
Kakwambia ndio maana nasemaAnatongozeka nani kakwambia
Nasema hivi sitongozekiKakwambia ndio maana nasema
Supermarket ni mtu mzima, niite babuWengi wao waongo kaka super market
Hujambo mjukuuBabu supper market hujambo