Sanaa sikuiz hamna kituTupogo ni mojawapo ya wimbo niliokua naupenda sanaa!!
Kitu chenyewe hakipo saiiSanaa sikuiz hamna kitu
Saii 00:47 usikuKitu chenyewe hakipo saii
Usiku ote huu mie sina usingiziSaii 00:47 usiku
Usingizi umewashika acha mie nijitangaze MSHINDIUsiku ote huu mie sina usingizi
Mshindi hawezi kupatikana wala wa mwisho hawezi kupatikana kwenye hii Thread.Usingizi umewashika acha mie nijitangaze MSHINDI
Bwana Yesu asifiweMshindi hawezi kupatikana wala wa mwisho hawezi kupatikana kwenye hii Thread.
Habarini za asubuhi wapendwa katika Bwana.
Bwana na bibi mmefunga ndoa?Mshindi hawezi kupatikana wala wa mwisho hawezi kupatikana kwenye hii Thread.
Habarini za asubuhi wapendwa katika Bwana.
Ndoa ikifungwa mimi ndio nitaifungisha mchungajiBwana na bibi mmefunga ndoa?
anakula kondoo wa Bwana? Kivipi?Mchungaji anakula kondoo wa Bwana
Kivipi juzi jumapili hujaenda kanisanianakula kondoo wa Bwana? Kivipi?
Kanisani nilienda na nilipokea kumunioKivipi juzi jumapili hujaenda kanisani
Kumunio ni kitu gani?Kanisani nilienda na nilipokea kumunio
Gani in English inatamkwaje?Kumunio ni kitu gani?
Kitu gani ni nyimbo ya Dknob na qjay ya bongoflevaKumunio ni kitu gani?
Wahuni ndiyo kabila gani na wanapatikanajee ?Bongo fleva ni nyimbo za wahuni