Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kumbe mwenzangu umekuwa mwanasiasa....?Confidence hii lugha ya trump kumbe
Kumbe mwenzangu umekuwa mwanasiasa....?Confidence hii lugha ya trump kumbe
Tupu zao zitaanikwa hadharani, Chezea nguvu za Umma... !!Mwanasiasa wa Tanzania Ni njaa tupu
Zachezewaje tuwaulize waLibya na waMisri !!!Nguvu za umma zachezewaje
Wamisri wametulizana sasa hiviZachezewaje tuwaulize waLibya na waMisri !!!
Wapi wenye kiburiHivi dunia inaelekea wapi
Mwanadamu hapaswi kuwa kiburi,Kiburi ni sifa ya Mwenyezi MunguKiburi si sifa ya mwanadamu
Mwanadamu au BinaAdamu ulimwenguniKiburi si sifa ya mwanadamu
Maajabu mno utayafahamu ukiishi sana, ukijifunza sana na kutembeaUlimwenguni kuna maajabu mnoo
Mengi ambayo ulikuwa huyajuiKutembea kwingi ni kuona mengi
Yanastaajabisha maonesho ya sarakasi wakati tembo akicheza kifimbo !!Huyajui ya dunia wewe yanastaajabisha
Kifimbo cheza kawanyoosha sana wenye kiswahili kibovuYanastaajabisha maonesho ya sarakasi wakati tembo akicheza kifimbo !!
Kibovu kile kigari chake hakitengenezeki !!Kifimbo cheza kawanyoosha sana wenye kiswahili kibovu