supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Ndo nini kucheka sanaNg,o ndo nini
Ndo nini kucheka sanaNg,o ndo nini
Magimbi huyajui ukhutySana San napenda magimbi
Magimbi watu wanapenda kula muda wa futariUkhuty anapenda magimbi
Naipenda sana futari ya vibibi, kachori na mihogo ya naziFutari ya viazi mbatata naipenda sana
Mboga za majani ni muhimu sana kulaNazi ni kiungo muhimu katka mboga
Wapendwa tumekuelewa ila wewe lala sisi popo bado tupoKulala ni muhimu kesho inshaallah tukijaaliwa wapendwa
TupogoWapendwa tumekuelewa ila wewe lala sisi popo bado tupo