Gorilla Zoo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 257
- 412
kituko gani ulichowahi fanya ulipokuwa shule ya msingi
Mtanzania tu ndo anaruhusiwa kuja kwenye mkutanoMweusi ni mtanzania tu
Nini kimekufanya upo na huzuniMkutano huo unahusu nini
Shida yetu ni upendo na amaniRaia wa tz ni shida
Raia wa Tanzania tuna upendo na amaniHuzuni na simanzi kwa raia
Upendo ni tunda la roho ukhutyAmani na upendo
Ukhuty hajatufanyia ndizi za malindi mix nyama,tumesahauliwaUpendo ni tunda la roho ukhuty
Mazuri haswa yale ya mapishi mchele robo nazi tatu..Tanga kuna mambo mazuri