Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Tanzania ilirithi hao wahuni kutoka kwa nani..??Wanapatikana maeneo yote ya Tanzania
Tanzania ilirithi hao wahuni kutoka kwa nani..??Wanapatikana maeneo yote ya Tanzania
Taarifa ya msimba ilitufikia usiku wa manane.....Nani alikupa taarifa
Lugha haichafuki, ila sema inakosewa japo lafudhi za mitaani hupishana na lahaja rasmi....Manane ndo nini? Acheni kuchafua lugha
Inatamkwaje 'gani' kwa 'english' wakati ni neno la Kiswahili, kulikoni 'dem boy'!Gani in English inatamkwaje?
Rasmi za lahaja katika lugha ni ufasihi na usanifu wakeLugha haichafuki, ila sema inakosewa japo lafudhi za mitaani hupishana na lahaja rasmi....
Wake wa vigogo huendeshwa na dereva kwa kutumia magari ya serikali.....Rasmi za lahaja katika lugha ni ufasihi na usanifu wake
Haieleweki kivipi jamani, Wapo katika kubadilisha na kurekebisha.....Serikali yenyew haieleweki
Lugha ndiyo mfumo wa mawasiliano katika mtu na wengine....Kurekebisha lugha
Vita vinanukia jamaniLugha hiyo ya kuilaumu serikali ni muhimu kuipiga vita
Vita kubwa ya kupambana nayo ni kujivuwa unyonge na kuondoa lawama na kulalama....Lugha hiyo ya kuilaumu serikali ni muhimu kuipiga vita
Kulalama ni hulka ya MtanzaniaVita kubwa ya kupambana nayo ni kujivuwa unyonge na kuondoa lawama na kulalama....
Mtanzania hulka yake ni mkarimu sana na hukaribisha yeyote yule, sasa akiishiwa huanza kulalamika.....Kulalama ni hulka ya Mtanzania
Kulalamika ni kitendi ambacho watu wengi hupendaMtanzania hulka yake ni mkarimu sana na hukaribisha yeyote yule, sasa akiishiwa huanza kulalamika.....
Hupenda kulalamika.. lakini kinaatharaisha nguvu za kujiamini na Self-confidence !!Kulalamika ni kitendi ambacho watu wengi hupenda