Sugu zimeota kwenye mkono baada ya kushika jembeUkwepaji wa kulipa kodi umekuwa sugu
Ufundi bomba huku mjini unalipa sana, maana maboma yote yamechakaa kwa matumizi ya maji ya kisima...Ukwepaji wa mkuki inataka ufundi
Kisima kirefu inatokana na upatikanaji wa maji katika eneoUfundi bomba huku mjini unalipa sana, maana maboma yote yamechakaa kwa matumizi ya maji ya kisima...
Mkuu nazungumzi fani na kipajiUfundi gani mkuu
Kidogo itokee ajali pale barabarani.....Eneo langu lina mwinuko kidogo
Mengi mno maeneo ya ubungoBarabarani ni hatari kuna magari mengi mnoo
Hamisha makazi yako karibu na soko la samaki......Mchezo Hamish
Sana sana mie sijawahi kuwala au hata kuwaona hivyo siwezi kuComment !!Samaki aina ya redfish ni watamu sana
Uwaone walivyo jipanga au walivyo pendza katika halaiki.....?Comment tu ngoja siku nikiwa nawo nitakutumia uwaone
Kituko chake ni mfadhaiko kadamunasi....Halaiki ya watu wengi kuna mtu kazua kituko