supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Akijua atapewa talaka tatuVipi mumeo akijua?
Akijua atapewa talaka tatuVipi mumeo akijua?
Umezaliwa huko kijijini halafu umeingia mjini unajifanya kusahau lugha ya kweju.. Nawaona shilawaduMshindi wewe unaeijua tanga vizuri kama umezaliwa huko
Hapo wapi?Nini ambacho hujui hapo?
Hapo anaona aibuNini ambacho hujui hapo?
Aibu iliyomkuta msanii jukwaani ni kuzimiwa umeme na kunyamazishwa kuimba !!Hapo anaona aibu
Wako tangu lini?Aibu ya nini tena mtu wangu
Mippango yetu imevurugika na waandalizi wamesambaratika....Lini tutakamilisha mipango yetu
Kuisha? kwani washafanya tangaWamesambaratika ndugu baada ya msib kuisha
Kuisha kwa mkutano wa hadhara ulitokana na mvua kubwa kunyesha...Wamesambaratika ndugu baada ya msib kuisha
Kunyesha mvua mpaka mwezi februari mwishoniKuisha kwa mkutano wa hadhara ulitokana na mvua kubwa kunyesha...
Yanaongezeka mapato kutokana na kodi kulipwa bila ukwepaji....Mwishoni mwa mwaka majanga yanaongezeka
Ukwepaji wa mkuki inataka ufundiYanaongezeka mapato kutokana na kodi kulipwa bila ukwepaji....