Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,275
PM ya nini si muongelee hapahapaMashallah ukhty wallah nakufuata PM
PM ya nini si muongelee hapahapaMashallah ukhty wallah nakufuata PM
Faragha imewekwa wazi hakuna siriHapahapa hapafai hakuna faragha
Kumpendeza kila mtu kunataka moyoSiri iwe sirini ni ya mungu kumpendeza
Roho yangu inauma kwa kukosa swali rahisi la hisabatiMoyo au roho?
Mimi nalipenda somo la geography nikilikumbuka natamani nirudi shuleHisabati ni somo zuri sana mm nalipenda
Chemsha bongo kwenye hesabu zinaumiza kichwaNalipenda somo hilo linachemsha "Bongo"
Shule gani nzuri nimpeleke mwananguMimi nalipenda somo la geography nikilikumbuka natamani nirudi shule
Mwilini kuna muwasho wa jashoKichwa ni kiungo muhimu sana mwilini
Mwanangu mimi naona mpeleke mtoto wako shule iliyokuwa karibu yako ili gharama zisije zikakutoa jashoShule gani nzuri nimpeleke mwanangu
Jasho limenitoka nilipomtokea ukhutyMwanangu mimi naona mpeleke mtoto wako shule iliyokuwa karibu yako ili gharama zisije zikakutoa jasho
Ukhuty unaonekana unampenda sana, au unashindwa kumwambia nikusaidie kukufikishia ujumbe mkuuJasho limenitoka nilipomtokea ukhuty
Mkuu sio siri ukhuty namzimia sio kama lin hajui kuandaa misosi ya kipwaniUkhuty unaonekana unampenda sana, au unashindwa kumwambia nikusaidie kukufikishia ujumbe mkuu
Misosi ya kipwani utaandaliwa na ukhutyMkuu sio siri ukhuty namzimia sio kama lin hajui kuandaa misosi ya kipwani