supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Anajua sana kupika mashallahUkhuty ukhuty ukhuty anajua sana
Anajua sana kupika mashallahUkhuty ukhuty ukhuty anajua sana
Anajua sana,tena nayatamani maanjumati na madikodiko yakeUkhuty ukhuty ukhuty anajua sana

Madikodiko yake si mchezoAnajua sana,tena nayatamani maanjumati na madikodiko yake![]()
![]()
![]()
Mchezo wa mieleka wa wwe naupenda.Madikodiko yake si mchezo
Mwanyeji apone..!! siku hizi ni mgeni njoo mwemyeji akome..Naupenda ule usemi wa mgeni njoo mwenyeji apone
Watu wa siku hizi matapeli wengiAkome kabisa kufuatilia maisha binafsi ya watu
Mmmmh matapeli sio wote jamaniWengi mno hasa kutegemea na ugumu wa maisha uliopo mmmh
Jamani mbona kimyaMmmmh matapeli sio wote jamani
Kimya kingi ujue kuna jamboJamani mbona kimya
Jambo gani?kwema waungwana?Kimya kingi ujue kuna jambo
Waungwana kwema tu, leo pirika pirika nyingi jumatatuJambo gani?kwema waungwana?
Jumatatu, jumanne au iwe Jumatano, pilika palepale tu inategemea na inajishughurisha na niniWaungwana kwema tu, leo pirika pirika nyingi jumatatu
Nini khaswa umekusudia ktk ujumbe uliyotuma mtandaoni....Jumatatu, jumanne au iwe Jumatano, pilika palepale tu inategemea na inajishughurisha na nini
Mtandaoni kinatumwa chochote.. ni juu yako kuamua nini kizuri kwako.. Naweza nikatuma kwa maana hii lakini wewe ukajifunza maana nyingineNini khaswa umekusudia ktk ujumbe uliyotuma mtandaoni....
Nyingine ni virago na nyingine chakavu, hivyo sadakalawe atakaepata apate....!!Mtandaoni kinatumwa chochote.. ni juu yako kuamua nini kizuri kwako.. Naweza nikatuma kwa maana hii lakini wewe ukajifunza maana nyingine
Kabisa Leo bora aje Bingwa wangu supermarket afafanue ugumu huu wa maisha .....Nyingine maana hazieleweki kabisa