supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Rahisi kuogelea beach kwa leo jumapiliMashine Tata au rahisi
Rahisi kuogelea beach kwa leo jumapiliMashine Tata au rahisi
Mashine rahisi zinapatikana India nan China, lakini itakugharimu matengenezo !!Mashine Tata au rahisi
Pesa nyingi zimeibiwa benk na majambaziMatengenezo ya gari yangu yamenigharimu pesa nyingi
Nyingi km mchanga wa bahariMatengenezo ya gari yangu yamenigharimu pesa nyingi
Bahari imechafuka leo haifai kusafiriNyingi km mchanga wa bahari
Kusafiri kwa jahazi siku ya leo haikwepeki maana tunasubiriwa huko kisiwani......Bahari imechafuka leo haifai kusafiri
Kisiwani siku hizi fasta tu unafika kwa botiKusafiri kwa jahazi siku ya leo haikwepeki maana tunasubiriwa huko kisiwani......
Kisiwa kipi?! Kama kile kinachotembea sidhani kama mtakikuta..Kusafiri kwa jahazi siku ya leo haikwepeki maana tunasubiriwa huko kisiwani......
Mtakikuta maeneo ya Pemba jirani na nyumbani kwa Maalim SeifKisiwa kipi?! Kama kile kinachotembea sidhani kama mtakikuta..
Seif au safe bila kuSave data yote itasambaratika ktk kompyuta....Mtakikuta maeneo ya Pemba jirani na nyumbani kwa Maalim Seif
Kompyuta enzi za zamani hazikuwepoSeif au safe bila kuSave data yote itasambaratika ktk kompyuta....
Hizo computer zamani hazikwepo tulikuwa tunatumia typewriter..Hazikuwepo enzi hizo
Nini unauliza ukhuty??Typewriter ndo nini
Mashallah ukhty wallah nakufuata PMUkhuty fulani mashallah