Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
..maisha Hayana budi kuendeleaKabisa Leo bora aje Bingwa wangu supermarket afafanue ugumu huu wa maisha ...
..maisha Hayana budi kuendeleaKabisa Leo bora aje Bingwa wangu supermarket afafanue ugumu huu wa maisha ...
Kuendelea na maisha ni lazima, au kama vipi ukiona maisha magumu achana nayo fanya ishu zingine..maisha Hayana budi kuendelea
Wapendwa wote wamejipanga barabarani kukupokea ujio wako hadi trafik wamesimama...Zingine hazina maana mmeamkaje wapendwa
Safe zao zilizofuliwa vizuri na kupigwa pasiWamesimama huku wamevalia sare zao
Kupigwa pasi a.k.a flampeni siwapendagiSafe zao zilizofuliwa vizuri na kupigwa pasi
Mbaya yake zaidi pale alipo mtolea matusi na kashfa yule kiongozi.....Siwapendagi watu wenye tabia mbaya
Namba zenyewe hazionekani tunabaki kuimbaKiongozi Wa awamu hii anatusomesha namba
Sipendi kabisa kuingilia ugomvi wandugu.....Kuimba wimbo wa taifa huwa sipendi kabisa
Humu tuna binamu na wandugu wa mtandaoni na ndgugu wa masilahi....Wandugu hamjambo humu
Machache mnoo kuyatambua kwa kuwa wewe haupo ktk system ya wapigaji ndili, Yaleti ungelikuwa karibu nao ungepata faida....Masilahi ya nchi hii ni machache mnoo
Ndogo kwa kuwa uliwekeza vichache kuliko mahitaji ya soko......Faida niliyopata kwa biashara yangu Ni ndogo