Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Tuzo la muziki lililonyakuliwa baada ya kulialia au lile lililonyakuliwa stejini?Mtaje jina yule aliye nyakuwa tuzo la muziki.....
Tuzo la muziki lililonyakuliwa baada ya kulialia au lile lililonyakuliwa stejini?Mtaje jina yule aliye nyakuwa tuzo la muziki.....
Hakueleweki wewe sio mtu wa kujirushaStejini kwenyew hakueleweki
Wa kujirusha, anaweza kajuwa au asijue inategemea tu wanaomzungukaHakueleweki wewe sio mtu wa kujirusha
Wanaomzunguka ukhuty ni marafiki wazuriWa kujirusha, anaweza kajuwa au asijue inategemea tu wanaomzunguka
Marafiki wazuri ni nadra sana kuwapata hasa kipindi hiki cha digitaliWanaomzunguka ukhuty ni marafiki wazuri
Watu wema wapo kila pahala na watu waovu wapo kila pahala inategemea uswahiba !!!Digital imeharibu watu
Uswahiba wetu ni kwenye maongezi lakini kula uende kwenuWatu wema wapo kila pahala na watu waovu wapo kila pahala inategemea uswahiba !!!
Kwenu ni kijijini, huku mjini ni mahala pa biashara tu.Uswahiba wetu ni kwenye maongezi lakini kula uende kwenu
Kwenu ni njia ya kupitia kwetu bondeni......Uswahiba wetu ni kwenye maongezi lakini kula uende kwenu
Biashara tu ndiyo inayoinyanyuwa Dubai kiuchumi.....Kwenu ni kijijini, huku mjini ni mahala pa biashara tu.
Kiuchumi Dubai na nchi za middle east wanategemea mafutaBiashara tu ndiyo inayoinyanyuwa Dubai kiuchumi.....
Mazuri ni mengi ila mabaya tu ndo yanayoonwa.Mafuta ya alizeti ni mazuri
Mazuri ya Dubai ni utalii na biashara huchangia zaidi ya mafutaMafuta ya alizeti ni mazuri
Mafuta ya diesel na petrol ni muhimu sana kwa vyombo vya mashineMazuri ya Dubai ni utalii na biashara huchangia zaidi ya mafuta