supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Yaani unamaanisha salad itakuwepo?Noma sana yaani
Yaani unamaanisha salad itakuwepo?Noma sana yaani
Pili pili mbuzi au pilipili mtamaKaribuni hii nzuri, naomba uniwekee pilipili
yaani wewe ndo wa kusema roho yangu mbayaNoma sana yaani
Pilipili mtama halafu njoo kabisa na maji baridiPili pili mbuzi au pilipili mtama
Kali sana pilipili ikiwasha nasukumizia na majiBaridi la mbeya ni kali sana
Kuchujwa kwa tui la nazi msosi uwe mtamuMaji safi na salama ni Yale yaliyochemshwa na kuchujwa
Nazi ya bahresa au nazi ya kifuuMtamu wali ukipikwa kwa nazi
Nazi ikikolea kwenye mchuzi au maharage utajimba ulimi kwa utamuKifuu sharti ujue kuikuna nazi
Haulezeki kwa maelezo bali mapishi ni ujuzi na kipajiUtamu wake hauelezeki
Kuzaliwa kwa tembo ni baada ya miaka miwili kwa mtoto mmoja..!!Kipaji cha kuzaliwa
Mtoto mmoja ana uzito mkubwaKuzaliwa kwa tembo ni baada ya miaka miwili kwa mtoto mmoja..!!
Nampenda wema sepetu, wewe humu unampenda nani? mtaje jinaMmoja wenu humu huwa ananifurahishaga sana.... Kifupi nampenda
Mtaje jina yule aliye nyakuwa tuzo la muziki.....Nampenda wema sepetu, wewe humu unampenda nani? mtaje jina