supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Mkuu nazungumzia ununuzi wa ndege na elimu bureMaendeleo yapi hayo unayo zungumzia Mkuu
Mkuu nazungumzia ununuzi wa ndege na elimu bureMaendeleo yapi hayo unayo zungumzia Mkuu
Ghali kwasababu itakugharimu baadaeBure ghali
Kupika ukimaliza niite na mimiBaadae naenda kupika
mimi nitakua wa kwanza kukaribishwaKupika ukimaliza niite na mimi
Kukaribishwa kasema eti mpaka utoe mchangomimi nitakua wa kwanza kukaribishwa
mchango wangu unaweza tetemeka juu kwa juu kama ule wa tetemekoKukaribishwa kasema eti mpaka utoe mchango
Tetemeko la chakula hasa wali mchango wake ni mchuzi na mbogambogamchango wangu unaweza tetemeka juu kwa juu kama ule wa tetemeko
afya ya mwili au ya rohoMbogamboga ni nzuri kwa afya
Roho inaniuma ukhuty anapika pilauafya ya mwili au ya roho
Ulijuaje vipi wakati uzi huu unanukia harufu ya pilauPilau ya samaki ulijuaje
pilau au birianiUlijuaje vipi wakati uzi huu unanukia harufu ya pilau
Pilau la ukhuty ni nomaUlijuaje vipi wakati uzi huu unanukia harufu ya pilau
Karibuni hii nzuri, naomba uniwekee pilipiliPilau Leo kwangu karibuni