Ndizi 5,iliyoiva ni 1 tu itabidi tukatianeNgapi zimebaki hizo ndizi
Tukatiane ndo wadhungu wakasema "sharing is caring" basi nimenyee kipande !!Ndizi 5,iliyoiva ni 1 tu itabidi tukatiane
Ndizi tamu kutoka bukobaTukatiane vipande vipande vya ndizi
Ndizi za malindiTukatiane vipande vipande vya ndizi
Bukoba kuna madem bombaNdizi tamu kutoka bukoba
Nyama ya mbuzi au ya ng'ombeMalindi ni matamu sana ukimix na nyama
Mademu bomba wanapatikana sehemu nzuri kamaBukoba kuna madem bomba
Mpole sana sio mkorofi kama mbuziNg,ombe ni mnyama mpole sana
Majani mazuri yawe mabichi rangi ya kijaniMbuzi wetu anakula sana majani
Ccm, chadema, cuf, nccr ni vyama vizuri kwa maendeleoKijani ni rangi ya ccm
Maendeleo hatujayaona mpaka sasaCcm, chadema, cuf, nccr ni vyama vizuri kwa maendeleo
Kovu haliponi ukhutyMwilini mwa marehemu kulikuwa na kovu