Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Sisi udhaifu wetu upo kwenye kushangilia uozo na hotuba za kulaghiana.....Ukweli unauma, kila siku tunafungwa sisi
Sisi udhaifu wetu upo kwenye kushangilia uozo na hotuba za kulaghiana.....Ukweli unauma, kila siku tunafungwa sisi
Kulaghaiana kupo kwingi, kila siku kocha anasema kikosi kizuri na tumejipangaSisi udhaifu wetu upo kwenye kushangilia uozo na hotuba za kulaghiana.....
Kuteuliwa wachezaji hawana viwango, wanatuaibisha kila sikuTumejipanga kinafiki tukiwa na matarajio ya kukumbukwa ktk nafasi za kuteuliwa.
Kila siku tunaisoma namba hata ktk michezo !!!Kuteuliwa wachezaji hawana viwango, wanatuaibisha kila siku
Michezo ipo chini ya kiwangoKila siku tunaisoma namba hata ktk michezo !!!
CC mmmmh !! sisi tunastahili nini hadi kukandamizwa hivyo ?????Kiwango chetu cha uelewa wa mambo ni mtaji wa ccm
Hivyo ndivyo ilivyo hali halisi Mimi mshindi,wanipe zawadi, wafute threadCC mmmmh !! sisi tunastahili nini hadi kukandamizwa hivyo ?????
Kukandamizwa hivyo ni hivi bado tupo hai,tukifa tutapumzisha roho zetuCC mmmmh !! sisi tunastahili nini hadi kukandamizwa hivyo ?????
Roho zetu ni kudra za Mola alizoziumba kinamna.....Kukandamizwa hivyo ni hivi bado tupo hai,tukifa tutapumzisha roho zetu
Namna ya pumzi tunazopumua kila siku zinatupa kiburiRoho zetu ni kudra za Mola alizoziumba kinamna.....
Majambazi waliuwa mlinzi wa benki.....Mshindi ni Mimi
Sitaki tuzo wala chochote toka kwenu, nyie wote ni wanachama wa ccm
Chama cha majambazi....
Jamii ya watanzania imestaarabika kwa sasa sababu wengi wamepata elimubenki ya maneno hulinda heshima ya mtu mbele ya jamii
Elimu ni ufunguo wa maishaJamii ya watanzania imestaarabika kwa sasa sababu wengi wamepata elimu
Maisha ni haya haya mkuu endelea kuwa na furahaElimu ni ufunguo wa maisha