salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Naridhika nacho kishori kilichonipendaYangu kidogo naridhika nacho
Naridhika nacho kishori kilichonipendaYangu kidogo naridhika nacho
Kiliniumiza ila nshasahau na kusonga mbeleKichonipenda kiliniumiza
Hiyo sasa ni kukaririMbele kwa mbele ccm hiyo
Kukariri kuna umiza kichwaHiyo sasa ni kukariri
Imenichosha na wala sina haja nayo tenaKabisa yaani tanzania imenichosha
Naikimbia kama ilivyo kwa zinaa haina mwisho kama uzi huu usivyo na mwisho. It is beter to turn it into ENGLISHTena yaani punde tu naikimbia
English is better than moneyNaikimbia kama ilivyo kwa zinaa haina mwisho kama uzi huu usivyo na mwisho. It is beter to turn it into ENGLISH

Education kwa kiswahili ni elimuMoney is better than education
Mwisho wa reli ni kigomaElimu haina mwisho