Sana sana ukiwa na maendeleo kuwazidi majiraniWamanyema ni wachawi sana
Wao wameshakuwa waheshimiwa wapo wanakula marupurupu na mshaharaHatuwachagua kwa sababu hatukuwa na imani na wao
Yangu maoni ni kwamba punguza mahitaji ili yaendane na kipatoMshahara wangu haukidhi mahitaji yangu
Kipato bado kitakuwa kidogoYangu maoni ni kwamba punguza mahitaji ili yaendane na kipato
Kidogo cha halali kinamfaa mtuKipato bado kitakuwa kidogo
Mtu kama mimi nataka kingiKidogo cha halali kinamfaa mtu
Draft ni mchezo wa kula mboga saba na kuendeleaKingi huweza kula kete popote kati njia ya draft katika umbali wowote ndani ya draft
Kaburi ndiyo sanduku la matendo yako, utahesabiwa moja baada ya kingine......Kuendelea kukumbatia ufisadi ni kujichimbia kaburi
Mwisho wa awamu ya tano ndiyo mwanzo wa awamu ya sita na kuendelea......Kingine ni kwamba hii thread haitafika mwisho
Kuendelea kufungwa Taifa stars inaleta picha mbayaMwisho wa awamu ya tano ndiyo mwanzo wa awamu ya sita na kuendelea......
Ukweli unauma, kila siku tunafungwa sisiMbaya zaidi watanzania hatupendi kuambiwa ukweli