Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mmmmh naona mi sjaelewa uba ipi mnayo ongerea mi nchi ninayo ishi kuna magari yanaitwa uba nikama kampuni ukiitaji muda wote unawatumia sms na mtaa uliopo na kipindi inakuja wanakuwekea kwenye sim yako picha ya mtu anae kuijia na aina ya gari
 
Tina na tetramelyz: kwenye uzi huu unatakiwa kumuangalia mtu wa mwisho amemaliza na neno gani, halafu wewe unaendelea.."wa mwisho ndo mshindi" ona nawaonyesha mfano,
Uba mi naona ni nzuri zaid na haraka
Haraka toka ndani ukimbie nje
Lakini uba ni usafiri unaotumika masaa 24 na unapatikana haraka. Binafsi nikiwa na haraka zangu natumia uba siwezi kusubili basi
Basi la mkoani limefika stendi ya ubungo
Mademu wameenda disco kujirusha
Basi za uba mazipenda
Nazipenda zinafuata sheria za barabara.
unaangalia mtu wa mwisho kutuma msg ndio unaendelea. Ukijibu msg ya jana au asubuhi tunarudi nyuma na kupoteza muelekeo.
karibu tuendelee na mchezo wa mwisho ndo mshindi
 
Tina na tetramelyz: kwenye uzi huu unatakiwa kumuangalia mtu wa mwisho amemaliza na neno gani, halafu wewe unaendelea.."wa mwisho ndo mshindi" ona nawaonyesha mfano,

Haraka toka ndani ukimbie nje

Basi la mkoani limefika stendi ya ubungo

Mademu wameenda disco kujirusha

Nazipenda zinafuata sheria za barabara.
unaangalia mtu wa mwisho kutuma msg ndio unaendelea. Ukijibu msg ya jana au asubuhi tunarudi nyuma na kupoteza muelekeo.
karibu tuendelee na mchezo wa mwisho ndo mshindi
Mshindi ni mimi
 
Mmmmh naona mi sjaelewa uba ipi mnayo ongerea mi nchi ninayo ishi kuna magari yanaitwa uba nikama kampuni ukiitaji muda wote unawatumia sms na mtaa uliopo na kipindi inakuja wanakuwekea kwenye sim yako picha ya mtu anae kuijia na aina ya gari
Gari kwenye sherehe alipewa kama zawadi
 
Mmmmh naona mi sjaelewa uba ipi mnayo ongerea mi nchi ninayo ishi kuna magari yanaitwa uba nikama kampuni ukiitaji muda wote unawatumia sms na mtaa uliopo na kipindi inakuja wanakuwekea kwenye sim yako picha ya mtu anae kuijia na aina ya gari
Gari hizo za UBA na huku Tanzania zipo... unaweza ukaangalia kwenye google map na kujua gari iliyoko karibu na wewe ipo wapi...ukiita inakufuata ulipo
 
Back
Top Bottom