Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,275
Likizo ataichukua akirudiAmesafiri mapema kabla ya likizo
Likizo ataichukua akirudiAmesafiri mapema kabla ya likizo
Likizo ya mbongo ni kubadili kaziAmesafiri mapema kabla ya likizo
Akirudi ni vizuri sababu wanafunzi tunampenda sana anatuhurumia mara kwa mara akiwepo tunapikiwa wali hatupikiwi makandeLikizo ataichukua akirudi
Akirudi ataondoka tenaLikizo ataichukua akirudi
Tena anapandishwa cheoAkirudi ataondoka tena
Huu uzi hauna mwishoMwengine ajitoke hadharani aseme mafanikio yake ya mwaka huu.
Something is scratching my backTell me something
Back on it linSomething is scratching my back
Lin ameenda kuchota maji kisimani na ndooBack on it lin
Ndoo hazitoshei kwa kuchotea maji mtoniLin ameenda kuchota maji kisimani na ndoo
Mtoni bora kuchota kwa kata na mtungiNdoo hazitoshei kwa kuchotea maji mtoni
Mtungi ukiwekea maji ya kunywa yanakuwa matamuMtoni bora kuchota kwa kata na mtungi
Matamu tena ya baridi kama yametoka kwenye frijiMtungi ukiwekea maji ya kunywa yanakuwa matamu
Friji inakuwa haina haja ukiwa na mtungiMatamu tena ya baridi kama yametoka kwenye friji
Mtungi ni muhimu hasa kwa mimi ninaeishi kijijini, sema kwa maeneo kama marangu moshi maji ya bomba pia yapo baridiFriji inakuwa haina haja ukiwa na mtungi