supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Tiba ya mapenzi ni kuacha kupendaSumu ya mapenzi aina tiba
Tiba ya mapenzi ni kuacha kupendaSumu ya mapenzi aina tiba
Kupenda hutokea naturallyTiba ya mapenzi ni kuacha kupenda
Naturally utajipa stress tu, bora upige kazi usijiingize kwenye mapenziKupenda hutokea naturally
Natiraly sio njia sahihi ya kupendaKupenda hutokea naturally
Kupenda nini? mademu au pesa?Natiraly sio njia sahihi ya kupenda
Dollar moja sawa na Tsh. ngapi za kibongo wajameni..!?Pesa? Pesa zipi? Za madafu au dollar.
(Bei za leo US1$ , 2160 - 2186 kwa Tshs)Dollar moja sawa na Tsh. ngapi za kibongo wajameni..!?
Hlf kweli mshindi atapatikana hapa...!!?
Mshindi ndio Mimi,mwingine asinijibu(Bei za leo US1$ , 2160 - 2186 kwa Tshs)
Hapa mshindi atapatikana na majaji wapo ndani wanahesabu kura kumtangaza mshindi
Asinijibu jeuri,nitamuwasha makofiMshindi ndio Mimi,mwingine asinijibu
Makofi kwa Boss kitambi menejaAsinijibu jeuri,nitamuwasha makofi
Meneja anataka kunipa zawadi ya ushindi,msinijibu jamaniMakofi kwa Boss kitambi meneja
Jamani lin mimi sikujibu nipo kimya si unaonaMeneja anataka kunipa zawadi ya ushindi,msinijibu jamani
Haraka haraka haina barakaUba mi naona ni nzuri zaid na haraka
Unaona unavyoniharibia bahati yanguJamani lin mimi sikujibu nipo kimya si unaona
Bahati yangu mimi sina tatizo mshindi ni wewe chukua tunzoUnaona unavyoniharibia bahati yangu
Lakini uba ni usafiri unaotumika masaa 24 na unapatikana haraka. Binafsi nikiwa na haraka zangu natumia uba siwezi kusubili basiHaraka haraka haina baraka
MademuKupenda nini? mademu au pesa?
Basi za uba mazipendaLakini uba ni usafiri unaotumika masaa 24 na unapatikana haraka. Binafsi nikiwa na haraka zangu natumia uba siwezi kusubili basi