supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Shwari tu mamboPoa & shwariii
Shwari tu mamboPoa & shwariii
Mambo kwa YesuShwari tu mambo
Yesu anatupenda sana, ubarikiweMambo kwa Yesu
Ubarikiwe kwa neno lako zuriYesu anatupenda sana, ubarikiwe
Neno lako zuri linakufanya uishi vizuri na marafikiUbarikiwe kwa neno lako zuri
Marafiki wa ukubwani so marafiki wa kweliNeno lako zuri linakufanya uishi vizuri na marafiki
Kweli lakini vigumu kuonana baada ya kupoteana na marafiki wa zamaniMarafiki wa ukubwani so marafiki wa kweli
Wapendwa mabibi na mabwana karibuni sana, kaeni kwenye vitiZamani sana nilikimbia jf nimerudi wapendwa
Mbona cha kule nyuma kipo kitupuViti vyote vimejaa mbona
Mkuu jua ni Kali Sana skuizi linawaka mpk mifukoniKitupu sijakiona mkuu
Vizuri kumsikiliza kwa makini MCMifukoni mwao WaPo vizuri
Raha ya shughuli watu wafurahiMc wanavyopendezesha shughul hadi raha
Mkuu wa shule amesafiriWafurahi kwenye shughul mkuu
Amesafiri mapema kabla ya likizoMkuu wa shule amesafiri