Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Mtamu kama nini?Mbuzi wa kuchoma mtamu
Mtamu kama nini?Mbuzi wa kuchoma mtamu
Mtamu kuliko vyote ulimwenguni ni ngamia tena ukapata biriani ukishushia na pespi baridiMbuzi wa kuchoma mtamu
pepsi baridi hukata kiu vizuriMtamu kuliko vyote ulimwenguni ni ngamia tena ukapata biriani ukishushia na pespi baridi
Vizuri kula balance dietpepsi baridi hukata kiu vizuri
Diet imebuma amekuwa bongeVizuri kula balance diet
Bonge nyanyaDiet imebuma amekuwa bonge
Nyanya, vitunguu na chumvi kidogoBonge nyanya
Kidogo kwa afyaNyanya, vitunguu na chumvi kidogo
Afya zimedhoofika kwa stressKidogo kwa afya
Stress gani?Afya zimedhoofika kwa stress
Moyo wake hauwezi kuhimili stress ya aina yoyote? Kwa nini kafa?Stress gani imemuua mzee mwenye presha ya mshtuko wa moyo
Kafa kwa sababu ya taarifa za mshtukoMoyo wake hauwezi kuhimili stress ya aina yoyote? Kwa nini kafa?
Mshtuko unaoua lazima uwe ule ambao umetokana na taarifa mpya kabisa kwenye masikio ya anayekufa. Lakini duniani hakunaga taarifa mpya, zote za zamaniKafa kwa sababu ya taarifa za mshtuko
Zamani za kale kulitokea paka na panyaMshtuko unaoua lazima uwe ule ambao umetokana na taarifa mpya kabisa kwenye masikio ya anayekufa. Lakini duniani hakunaga taarifa mpya, zote za zamani
Paka na panya hao walitokea wapi?Zamani za kale kulitokea paka na panya
Wapi panya amenasa kwenye mtegoPaka na panya hao walitokea wapi?
Mtego wa Ney au..?Wapi panya amenasa kwenye mtego
Au usipomuwekea mtego unaweza kumuwekea sumuMtego wa Ney au..?
Sumu ya mapenzi aina tibaAu usipomuwekea mtego unaweza kumuwekea sumu