Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Misitu yenyewe haina miti tenaRutuba itakuwepo tukimwagilia mbolea, kutunza vyanzo vya maji na kutokukata hovyo miti na misitu
Misitu yenyewe haina miti tenaRutuba itakuwepo tukimwagilia mbolea, kutunza vyanzo vya maji na kutokukata hovyo miti na misitu
Mvua zenyewe hazitabirikiHamna zaidi ya kusubiri mvua
Tena tunatakiwa kuendeleza kampeni ya mti wangu au kata mti panda mtiMisitu yenyewe haina miti tena
Hazitabiriki maana majira yamebadilika sana siku hiziMvua zenyewe hazitabiriki
Siku hizi hamna kinachoelewekaHazitabiriki maana majira yamebadilika sana siku hizi
Hazitabiriki kwa waliopo mjini lakini kwa sisi huku vijijini tunatambua sasa ni mvua za vuli na mwezi wa tatu mvua za masikaMvua zenyewe hazitabiriki
Kinachoeleweka ni kuto kukata tamaa hasa wakulimaSiku hizi hamna kinachoeleweka
Masika yenyewe hayana mvua za kutoshaaaHazitabiriki kwa waliopo mjini lakini kwa sisi huku vijijini tunatambua sasa ni mvua za vuli na mwezi wa tatu mvua za masika
Wakulima wanalima lakini hawapati faidaKinachoeleweka ni kuto kukata tamaa hasa wakulima
Mvua za kutosha zinapokaribia ni vizuri kuandaa mashamba mapemaMasika yenyewe hayana mvua za kutoshaaa
Faida ipo kwa chakula cha nyumbani na sokoniWakulima wanalima lakini hawapati faida
Mapeema ipi hiyo unayozungumziaMvua za kutosha zinapokaribia ni vizuri kuandaa mashamba mapema
Zungumzia kupanda mazao yanayohimili mvua na juaMapeema ipi hiyo unayozungumzia
Sokoni bei ya mazao ni ndogoFaida ipo kwa chakula cha nyumbani na sokoni
Ndogo ni faida kwetu sisi wanunuzi angalau tunaweza kula milo miwili kwa sikuSokoni bei ya mazao ni ndogo
Jua nalo linaweza kuzidi na kuunguza mazao shambaniZungumzia kupanda mazao yanayohimili mvua na jua
Barabarani kuna foleni kweliUnamaanisha mgambo ndiyo waliyotimuwa wamachinga hapo barabarani...?
Shambani kuna maliJua nalo linaweza kuzidi na kuunguza mazao shambani
Nyoosha barabara, kunja kushoto, kata kulia, ruka mfereji, nyumba ya 3 ndio kwetuSiku zinavozidi kusonga mjomba anaendelea kutunyoosha
Kweli tena siwezi kuacha kuingia Jamiiforums hata siku na moja maana raha nizipatazo humu ndani ni zaidi ya raha ya kukojoa wana UKAWA.Barabarani kuna foleni kweli