Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Pande zote zinaweza zisifikie muafakaBinafsi..? Haipo hiyo lazima uhusishe wazazi wa pande zote
Pande zote zinaweza zisifikie muafakaBinafsi..? Haipo hiyo lazima uhusishe wazazi wa pande zote
Hahahaha haya bhanaSakayo umemkariri mno, elewa alikuwa mtoza ushuru
Muafaka ukishindikana piga mimba tu watamwachia...Pande zote zinaweza zisifikie muafaka
Muafaka tayari tumeupata kuwa mimi na Sakayo ni wapenzi.Pande zote zinaweza zisifikie muafaka
Wapenzi wa mwendokasi nyieMuafaka tayari tumeupata kuwa mimi na Sakayo ni wapenzi.
Watamwachia lakini ujue maisha yenu yatakuwa ya tabuMuafaka ukishindikana piga mimba tu watamwachia...
Tabu mtakuwa mmejitakia, maana maisha ya raha yapo piaWatamwachia lakini ujue maisha yenu yatakuwa ya tabu
Pia hayawezi kuwa ya amani sababu mlibebana bila ridhaa ya wazeeTabu mtakuwa mmejitakia, maana maisha ya raha yapo pia
Wazee wakati mwingine wanazingua... halafu mkipiga shavu wazee huwa wanajirudi wenyewePia hayawezi kuwa ya amani sababu mlibebana bila ridhaa ya wazee
Wapenzi gani kati ya mtoza ushuru na mwana mitandaoMuafaka tayari tumeupata kuwa mimi na Sakayo ni wapenzi.
Wenyewe tu wanajua kuwa mimi na Sakayo hatuachani kamwe.Wazee wakati mwingine wanazingua... halafu mkipiga shavu wazee huwa wanajirudi wenyewe
Mwana mtandao upi? EPA, ESCROW, TIGO au Voda?Wapenzi gani kati ya mtoza ushuru na mwana mitandao
Kamwe usiwaze hivyo, kuna kubadirika kwa maishaWenyewe tu wanajua kuwa mimi na Sakayo hatuachani kamwe.
Maisha yamekuwa magumu sana kwenye huu utawala wa awamu ya tano.Kamwe usiwaze hivyo, kuna kubadirika kwa maisha
Voda wanazingua sana huku kwetuMwana mtandao upi? EPA, ESCROW, TIGO au Voda?
Maisha awamu ya tano yanatubana zaidi ya kondomuKamwe usiwaze hivyo, kuna kubadirika kwa maisha
Nyie wenyewe hamjui mapenzi yenu ni aina ganiWapenzi wa mwendokasi nyie
Kondomu siwezi kutumia tena sababu hainipi raha kama raha niipatayo nikiwa kavu kavu.Maisha awamu ya tano yanatubana zaidi ya kondomu
Wenyewe mnawadharau sanaWazee wakati mwingine wanazingua... halafu mkipiga shavu wazee huwa wanajirudi wenyewe
Kamwe hiyo haitokaa itokeeWenyewe tu wanajua kuwa mimi na Sakayo hatuachani kamwe.