atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Sana lakini ukiwa na uwezo wa kuvigharamia hakuna shidaVizuri vinaghalimu sana
Sana lakini ukiwa na uwezo wa kuvigharamia hakuna shidaVizuri vinaghalimu sana
Shida ipo kwenye pesaSana lakini ukiwa na uwezo wa kuvigharamia hakuna shida
Pesa ni jawabu la mambo yoteShida ipo kwenye pesa
Yote kama yapiPesa ni jawabu la mambo yote
Yapi yamemsibu mgonjwa amekataa kunywa dawaYote kama yapi
Kula vizuri nako kwahitaji gharamaDawa zao zina madhara kama utatumia bila kula vizuri
Gharama za kuishi na mke zimenishinda sasa bhasi nimeamua kumukimbia mke.Kula vizuri nako kwahitaji gharama
Nyumba yetu kijijini ni ya makuti na udongoMke ni pambo la nyumba.
Udongo wa mfinyanziNyumba yetu kijijini ni ya makuti na udongo
Udongo wa mfinyanzi sio kujenga nyumba tu, wanakula mpaka wajawazito wenye mimbaUdongo wa mfinyanzi
Muumbaji wa mbingu na ardhiMfinyazi ni Mungu muumbaji
Ardhi yetu siku hizi imepoteza rutubaMuumbaji wa mbingu na ardhi
Bora liendeArdhi yenye rutuba huzalisha mazao bora.
Liende wapi wakati mazao hamnaBora liende
Rutuba itakuwepo tukimwagilia mbolea, kutunza vyanzo vya maji na kutokukata hovyo miti na misituArdhi yetu siku hizi imepoteza rutuba
Hamna zaidi ya kusubiri mvuaLiende wapi wakati mazao hamna