Ukawa ndo mdudu ganiKweli tena siwezi kuacha kuingia Jamiiforums hata siku na moja maana raha nizipatazo humu ndani ni zaidi ya raha ya kukojoa wana UKAWA.
Gani ni bunduki eti eeeeee SakayoUkawa ndo mdudu gani
Hivo yaani sikuachi kizembe hivyo maana umemula hela zangu nyingi sana tuMdudu gani aliyekung'ata mpaka ukavimba hivo
Sana sana utaishia kula kwa macho maana tayari wajanja wamekuzidi keteHivo yaani sikuachi kizembe hivyo maana umemula hela zangu nyingi sana tu
Kete za kuchezea baoSana sana utaishia kula kwa macho maana tayari wajanja wamekuzidi kete
Mkuu humu jf inamaanisha nduguKete gani mkuu
Bao la mkono tamu sanaKete za kuchezea bao
Ndugu wa upande wa mke wangu wachawi sana hasa shangazi yake Sakayo.Mkuu humu jf inamaanisha ndugu
Mrembo Sakayo, hebu mwekeni kando huyo ni shauri nyingine hakuna wakumfikia....Ndugu wa upande wa mke wangu wachawi sana hasa shangazi yake Sakayo.
Wakumfikia hamna ila nisaidie kumshauriMrembo Sakayo, hebu mwekeni kando huyo ni shauri nyingine hakuna wakumfikia....
Sakayo umemkariri mno, elewa alikuwa mtoza ushuruNdugu wa upande wa mke wangu wachawi sana hasa shangazi yake Sakayo.
Ushuru wangu ntakulipia mahari asikuchukuwe mwingine.....Sakayo umemkariri mno, elewa alikuwa mtoza ushuru
Mwingine siwezi mpenda we ndo langu chaguoUshuru wangu ntakulipia mahari asikuchukuwe mwingine.....
Chaguo linakujaje bila kulitafakari, walao ulione kwa macho yako binafsi..?Mwingine siwezi mpenda we ndo langu chaguo
Zote kwangu zinanitosha...Binafsi..? Haipo hiyo lazima uhusishe wazazi wa pande zote
Binafsi moyo wangu ndo ulochagua, macho katu hayawezi shindana na moyoChaguo linakujaje bila kulitafakari, walao ulione kwa macho yako binafsi..?