Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Haipotei kama pesa ipoHaki ya mtu haipotei
Haipotei kama pesa ipoHaki ya mtu haipotei
haipotei sura ya mama kwa mtotoHaki ya mtu haipotei
Ipo wapi haki panapotolewa pesa ya rushwaHaipotei kama pesa ipo
Mtoto anaumwa maleriahaipotei sura ya mama kwa mtoto
malaria ni ugonjwa hatari sana kwa watotoMtoto anaumwa maleria
Watoto wanahitaji kulala kwenye chandaruamalaria ni ugonjwa hatari sana kwa watoto
Pesa ya rushwa ni tamuIpo wapi haki panapotolewa pesa ya rushwa
Tamu kama asali?Pesa ya rushwa ni tamu
Asali ni tiba ya vidonda kwa aliyeungua na motoTamu kama asali?
Aliyeunguwa na moto anatia hurumaAsali ni tiba ya vidonda kwa aliyeungua na moto
Moto unaunguza vibayaAsali ni tiba ya vidonda kwa aliyeungua na moto
Asali sio tamuTamu kama asali?
Tamu ni niniAsali sio tamu
Nini unamaanishaTamu ni nini
Unamaanisha nini kusema asali sio tamuNini unamaanisha
Unamaanisha mgambo ndiyo waliyotimuwa wamachinga hapo barabarani...?Nini unamaanisha
Taamu ni ladha yenye kuyeyuka mdomoni kuliko ile chungu yenye ukakasi......Unamaanisha nini kusema asali sio tamu
Ukakasi upo kwenye nanasi ambalo halijaivaa vizuriTaamu ni ladha yenye kuyeyuka mdomoni kuliko ile chungu yenye ukakasi......
Vizuri nanasi utengeneze juisiUkakasi upo kwenye nanasi ambalo halijaivaa vizuri
Vizuri vinaghalimu sanaUkakasi upo kwenye nanasi ambalo halijaivaa vizuri