The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,582
- 7,242
Basi ngoja nipotee kidogo mkimaliza utaratibu wenu please usisite kunijulishaNieleweshe wewe unaeharibu utaratibu
Basi ngoja nipotee kidogo mkimaliza utaratibu wenu please usisite kunijulishaNieleweshe wewe unaeharibu utaratibu
Adimu sana wewe siku hizi tunatumia sukari ya miwa kilomberoSukari guru imekuwa adimu sana
Nzuri ndio maana ikaitwa sukari bora!Kilombero sukari yake ni nzuri
Mungu wa kwetu soteBora ktk mambo bora ni ucha mungu
Mambo yote mazuri yanahitaji utaratibuMungu ni muweza wa mambo yote.
Maisha yako ni juhudi zako, siku hizi hakuna wa kukuonea hurumaUtaratibu mzuri ni ule ambao umejiwekea ktk maisha yako
Huruma yangu imeniponza leo nimekosa mgegedo(papuchi) hivi hivi eti kisa demu nimemuhurumia anaumwa UKIMWIMaisha yako ni juhudi zako, siku hizi hakuna wa kukuonea huruma
Huruma yangu imeniponza leo nimekosa mgegedo(papuchi) hivi hivi eti kisa demu nimemuhurumia anaumwa UKIMWI
Inahitajika kivipiUkimwi sio ugonjwa wa mzaha T 1990 ELY.Tafadhali jiheshimu Na Lugha za nguoni katika mchezo huu.Wapo wazee wetu,Dada zetu,Na kaka zetu.Heshima inahitajika
Inahitajika kivipi
Okay...Kivipi Mkuu ukijiheshimu utaheshimika
Utaheshimika kwa wadogo na wakubwa ukiwa na pesaKivipi Mkuu ukijiheshimu utaheshimika
pesa ni adui wa hakiUtaheshimika kwa wadogo na wakubwa ukiwa na pesa
Haki ya mtu haipoteipesa ni adui wa haki