supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Maadili yetu mazuri hatuwafundishi watotoUtamuduni wetu hauruhusu mavazi yasiyo na maadili
Maadili yetu mazuri hatuwafundishi watotoUtamuduni wetu hauruhusu mavazi yasiyo na maadili
Maadili ya wanaume wa KISUKUMA yametukuka kwa kweli.Utamuduni wetu hauruhusu mavazi yasiyo na maadili
Kweli kabisa na sasa kiongozi wetu wa nchi ni msukuma mwenye maadili mazuriMaadili ya wanaume wa KISUKUMA yametukuka kwa kweli.
Kwa kweli hata mie nawasifia kwa maadili yaoMaadili ya wanaume wa KISUKUMA yametukuka kwa kweli.
Watoto wenyewe wamekuwa wakubwa kiakili kuliko wazaziMaadili yetu mazuri hatuwafundishi watoto
Wazazi hatuna budi kuwapeleka mafundishoni madrasa au kanisaniWatoto wenyewe wamekuwa wakubwa kiakili kuliko wazazi
Madrasa au kanisani wanaenda ila wakirudi wanapitia kwenye mambo mengineWazazi hatuna budi kuwapeleka mafundishoni madrasa au kanisani
Mambo mengine wazazi inabidi wawe makini wasiwaache watoto hivi hiviMadrasa au kanisani wanaenda ila wakirudi wanapitia kwenye mambo mengine
Hivi wewe unafikiri kuna mzazi anapenda mtoto aharibikiweMambo mengine wazazi inabidi wawe makini wasiwaache watoto hivi hivi
Mtoto aharibikiwe na mienendo yake, hakuna mzazi anaependa lakini wazazi msiwe bize mkamuacha mtoto na kwenda kutafuta pesaHivi wewe unafikiri kuna mzazi anapenda mtoto aharibikiwe
Kutafuta pesa kupo na malezi ya mtoto yapo pale pale, Sema kila kitu kinafanyika kwa wakati wakeMtoto aharibikiwe na mienendo yake, hakuna mzazi anaependa lakini wazazi msiwe bize mkamuacha mtoto na kwenda kutafuta pesa
Wakati wake vipi wakati nyinyi wazazi ndo mmemleta duniani mtotoKutafuta pesa kupo na malezi ya mtoto yapo pale pale, Sema kila kitu kinafanyika kwa wakati wake
Mtoto huyo wewe mzazi isipojituma mahitaji yake muhimu yatatoka wapiWakati wake vipi wakati nyinyi wazazi ndo mmemleta duniani mtoto
Wapi mtoto anataka kulelewa na mfanyakazi wa nyumbaniMtoto huyo wewe mzazi isipojituma mahitaji yake muhimu yatatoka wapi
Wapi pesaa imejificha maana halii imekuwaa tete mpk innocent nalala njaaaMtoto huyo wewe mzazi isipojituma mahitaji yake muhimu yatatoka wapi
Nyumbani anakuwepo dada,na mzazi akipata upenyo anarudi kuhakikisha usalama wa mtoto upoWapi mtoto anataka kulelewa na mfanyakazi wa nyumbani
Njaa ya tumbo la chini hatari sana hasa ikushike nyakati za usiku.Wapi pesaa imejificha maana halii imekuwaa tete mpk innocent nalala njaaa
Njaa utalala kama hupendi kujitumaWapi pesaa imejificha maana halii imekuwaa tete mpk innocent nalala njaaa
Usiku huo utatamani unywe hata maji ya sukariNjaa ya tumbo la chini hatari sana hasa ikushike nyakati za usiku.