Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sakayo alikuwa mtoza ushuruUmeanza tu sasa hivi tayari umekojoa jamani Sakayo.
Sakayo alikuwa mtoza ushuruUmeanza tu sasa hivi tayari umekojoa jamani Sakayo.
Roho mbaya siku zote haijengiUbinafsi unasababishwa na roho mbaya
Ushuru wa kulipia mgegedo umeongezeka kwa asilimia tano.Sakayo alikuwa mtoza ushuru
Asilimia tano haitoshi wangefanya hamsini ili watu waache uzinziUshuru wa kulipia mgegedo umeongezeka kwa asilimia tano.
Haijengi nyumba wala maendeleoRoho mbaya siku zote haijengi
Nani kijumbe, na ndani anapokea wa kwanzaWa mwisho wakati mchezoo ndo umeanza
Maendeleo yanafanya watu wasahau walipotokaHaijengi nyumba wala maendeleo
Kwanza huelewekiNani kijumbe, na ndani anapokea wa kwanza
Maendeleo yanafanya watu wasahau walipotoka
NieleweshaKwanza hueleweki
Uzinzi upo kwenye damu kamwe siachi ebu nipe nafasi tudikasi mapenzi hayaitaji kulipizana visasi.Asilimia tano haitoshi wangefanya hamsini ili watu waache uzinzi
Nieleweshe wewe unaeharibu utaratibuNielewesha
Sana hasa kwa wale wenye mafanikio makubwawalipotoka ni mbali sana
Utaratibu juu ya utaratibu ni fujoNieleweshe wewe unaeharibu utaratibu
Visasi vya nini kwenye dunia ya MunguUzinzi upo kwenye damu kamwe siachi ebu nipe nafasi tudikasi mapenzi hayaitaji kulipizana visasi.
Fujo zenyewe zinaanzia upande wa piliUtaratibu juu ya utaratibu ni fujo
MUNGU kwetu kimbilioVisasi vya nini kwenye dunia ya Mungu
Kimbilio letu liwe ndani ya sheria na utamaduniMUNGU kwetu kimbilio
Utamuduni wetu hauruhusu mavazi yasiyo na maadiliKimbilio letu liwe ndani ya sheria na utamaduni
Utamaduni wa kabila langu pendwa la KISUKUMA naupenda sana.Kimbilio letu liwe ndani ya sheria na utamaduni