supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Utaweza kupika mwenyewe baadhi ya vyakula lakini siku hizi mapishi mengiAkufundishe kama huna uhakika kama utaweza
Utaweza kupika mwenyewe baadhi ya vyakula lakini siku hizi mapishi mengiAkufundishe kama huna uhakika kama utaweza
Gharama huja pale unapobeba wasio bebekaHuruma na tabia nzuri, kuishi na watu vizuri hakuna gharama
Utaweza hakika kama ukitia bidii na maarifa zaidi ukiweka na saburiAkufundishe kama huna uhakika kama utaweza
Utaweza nn wakati unaharibu uziAkufundishe kama huna uhakika kama utaweza
Wasio bebeka wana mapungufu yao ya kibinadamu na maisha yakiwapiga vizuri wanabadilika na kuwa watu safiGharama huja pale unapobeba wasio bebeka
Ukiweka na saburi utafanikiwa kwa kila kituUtaweza hakika kama ukitia bidii na maarifa zaidi ukiweka na saburi
Watu safi huwezi wajua kwa suraWasio bebeka wana mapungufu yao ya kibinadamu na maisha yakiwapiga vizuri wanabadilika na kuwa watu safi
Uzi unaendelea mkuu usichoke twende kaziUtaweza nn wakati unaharibu uzi
Sura zao nzuri zinavutia wanakubalika katika jamii lakini ni washirikinaWatu safi huwezi wajua kwa sura
Washirikina hufanya kazi zao usiku wa mananeSura zao nzuri zinavutia wanakubalika katika jamii lakini ni washirikina
Usiku wa manane wahalifu na wabaya ndo wanaona kama mchanaWashirikina hufanya kazi zao usiku wa manane
Mchana wao huwa wanawinda sehemu zenye nafuu ili usiku wafanye yaoUsiku wa manane wahalifu na wabaya ndo wanaona kama mchana
Yao yanawaendea, wakati wanawaharibia watu na kuwarurudisha nyumaMchana wao huwa wanawinda sehemu zenye nafuu ili usiku wafanye yao
Nyuma tunarudi pia kwa kuchukua kufanya kaziYao yanawaendea, wakati wanawaharibia watu na kuwarurudisha nyuma
Kazi tunafanya lakini kwenye maendeleo hatupendaniNyuma tunarudi pia kwa kuchukua kufanya kazi
Hatupendani kwa sababu ya ubinafsiKazi tunafanya lakini kwenye maendeleo hatupendani
Wa mwisho wakati mchezoo ndo umeanzaFinal nimekuwa mshindi mie ndio wa mwisho
Umeanza tu sasa hivi tayari umekojoa jamani Sakayo.Wa mwisho wakati mchezoo ndo umeanza
Ubinafsi unasababishwa na roho mbayaHatupendani kwa sababu ya ubinafsi