Kunawa Unaweza ila kwa leo utanawishwaKushoto kuna jagi na bakuli naruhusiwa kunawa
Kula kula ni raha asikwambie mtuKunawa ni muhimu kabla ya kula
Utanawishwa na sabuni sababu mikono ina vumbi mgeniKunawa Unaweza ila kwa leo utanawishwa
Asishibe sababu chakula hakitoshiMtu anaweza kula lakinii asishibe
Mgeni Mwenyewe leo ana harakaUtanawishwa na sabuni sababu mikono ina vumbi mgeni
Mgeni njoo mwenyeji aponeUtanawishwa na sabuni sababu mikono ina vumbi mgeni
Hakitoshi kwa sababu hakuwa kwenye mahesabuAsishibe sababu chakula hakitoshi
Baraka ya chakula kiwe kimepoa kisiwe cha motoHaraha haraka haina Baraka
Cha moto ukila haraka waweza tapikaBaraka ya chakula kiwe kimepoa kisiwe cha moto
Mahesabu inabidi yaongezeke japo kuongeza na chips au mkate lkn usimuache mgeni aondoke na njaaHakitoshi kwa sababu hakuwa kwenye mahesabu
Pika chakula kizuri kama hujui usisite muombe rafiki yako akufundisheCha moto ukila haraka waweza tapika
Njaa hawezi kuondokaa nayo itabidi ale cha kwanguMahesabu inabidi yaongezeke japo kuongeza na chips au mkate lkn usimuache mgeni aondoke na njaa
Kwangu mimi namsifu mtu yoyote anaemkarimu mgeni awe mgeni tajiri au masikiniNjaa hawezi kuondokaa nayo itabidi ale cha kwangu
Masikini hawabebekiKwangu mimi namsifu mtu yoyote anaemkarimu mgeni awe mgeni tajiri au masikini
Maskini huwa wamejaaliwa nafsi za hurumaKwangu mimi namsifu mtu yoyote anaemkarimu mgeni awe mgeni tajiri au masikini
Huruma na tabia nzuri, kuishi na watu vizuri hakuna gharamaMaskini huwa wamejaaliwa nafsi za huruma
Akufundishe kama huna uhakika kama utawezaPika chakula kizuri kama hujui usisite muombe rafiki yako akufundishe