supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Muda huu unaenda kupika nini, sisi pia tunanjaa tunataka kukaribishwaMkarimu sana Mimi kwa herini naenda kupika muda huu
Muda huu unaenda kupika nini, sisi pia tunanjaa tunataka kukaribishwaMkarimu sana Mimi kwa herini naenda kupika muda huu
Wanafurahi kwa sababu wanajua nimewaandalia chochoteMkarimu kwa wageni na wenyeji kukuona tu wanafurahi
Kukaribishwa mtakaribishwa chakuka kikiwa tayariMuda huu unaenda kupika nini, sisi pia tunanjaa tunataka kukaribishwa
Huu ndo hasa wakati wa kuandaa cha usikuMkarimu sana Mimi kwa herini naenda kupika muda huu
Chochote unachopewa pokea, kiwe kidogo au kikubwaWanafurahi kwa sababu wanajua nimewaandalia chochote
Tayari tumeanza kujisogeza karibuKukaribishwa mtakaribishwa chakuka kikiwa tayari
Kidogo nakithamini pia na nikipewa nashukuruKikubwa ni kizuri zaidi kuliko kidogo
Karibu kila kitu kiko mezani ni wewe tu kujipimiaaTayari tumeanza kujisogeza karibu
Tayari nimefika mezani naomba maji ninawe mikonoKaribuni mezani chakula tayari
Kujipimia nataka nijaze sahani usiniangalie sana ukasema mgeni anapenda kulaKaribu kila kitu kiko mezani ni wewe tu kujipimiaa
Mikono waweza nawa kwa upande wako wa kushotoTayari nimefika mezani naomba maji ninawe mikono
Baadae karibu tena usiende mbali ukapoteaTayari muda umewadia naenda kupika baadae![]()
![]()
Ndugu zangu nami nawapenda ila sina budi kwenda kwenye majukumuBaadae WAPENDWA amani Iwe juu yenu ndugu zangu
Kushoto kuna jagi na bakuli naruhusiwa kunawaMikono waweza nawa kwa upande wako wa kushoto