Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Vizuri ni kugawana na mwenzio, japo umabali usichukulie udhuri ...!!Maisha ni mafupi ishi na watu vizuri
Vizuri ni kugawana na mwenzio, japo umabali usichukulie udhuri ...!!Maisha ni mafupi ishi na watu vizuri
Inshallah Mungu akupe uhai na akuwafikishe salama utanisalimia sakayoNimepanga kuja kukutembelea week hii inshaallah
Vizuri ukaelewa kila mtu ni zaidi ya nduguMaisha ni mafupi ishi na watu vizuri
Inshaallah karibu kwetuNimepanga kuja kukutembelea week hii inshaallah
Ndugu, jamaa, majirani na marafiki wanakupenda kwa utu wakoVizuri ukaelewa kila mtu ni zaidi ya ndugu
Wako wapi waliyo wakali !!Ndugu, jamaa, majirani na marafiki wanakupenda kwa utu wako
Mzuri anavutia kwa heshma, maadili na tabiaWako marafiki wenye tabia mzuri
Utu wako ndo umefanya nikuone kama nduguNdugu, jamaa, majirani na marafiki wanakupenda kwa utu wako
Wakali ni wamaneno tu vitendo ni sifuriWako wapi waliyo wakali !!
Lawama zina mwisho wake, usikate tamaaNdugu lawama
Lawama hazitakufika kama wewe ni mkarimuNdugu lawama
Sifuri iliyo ongezwa na mhasibu ndipo alipoghushi hundi ya mishahara....Wakali ni wamaneno tu vitendo ni sifuri
Mkarimu kwa wageni na wenyeji kukuona tu wanafurahiLawama hazitakufika kama wewe ni mkarimu