Juhudi na maarifa huongeza mafanikio
Mafanikio yanachelewa usiwe na haraka sababu yanakuja kidogo kidogoJuhudi ninazo lakini mafanikio yanachelewa
Inshaallah Mungu sio Juma naamini na mie nitafanikiwaYanachelewa tu ila utayapata omba mungu inshaallah
Nitafanikiwa nikizidi kumuomba mungu na kujiweka karibu nayeInshaallah Mungu sio Juma naamini na mie nitafanikiwa
Naye ni mwepesi wa kisikiliza maombi na shida zetuNitafanikiwa nikizidi kumuomba mungu na kujiweka karibu naye
Naye ukumuomba dua atakuitikia na kukupa kutimiza ndotoNitafanikiwa nikizidi kumuomba mungu na kujiweka karibu naye
Kidogo hicho ndo hakikidhi mahitajiMafanikio yanachelewa usiwe na haraka sababu yanakuja kidogo kidogo
Mahitaji muhimu ya binadamu ni chakula, maji, hewa na makaziKidogo hicho ndo hakikidhi mahitaji
Ndoto hizo haziwezi timia kama huna maarifaNaye ukumuomba dua atakuitikia na kukupa kutimiza ndoto
Nayapenda sana na mimi unaishi wapi kwa sasaMakazi yangu nayapenda sana
Sana sana ni kwa sababu yapo karibu na huduma muhimuMakazi yangu nayapenda sana
Sasa nipo nipo tu nimepangaNayapenda sana na mimi unaishi wapi kwa sasa
Maisha ni mafupi ishi na watu vizuriMuhimu ni kuzidisha ibada kwa sababu maisha ni mafupi