Hili ni Taifa lenye amani na wasaa wa kupokea idadi ya wakimbizi wengi kuliko wazawa.....Hajazaliwa bado mtu atayelikomboa taifa hili.
wazawa tumekua watumwa wa ukoloni mamboleo.Hili ni Taifa lenye amani na wasaa wa kupokea idadi ya wakimbizi wengi kuliko wazawa.....
Ukoloni gani ndg. Wewe.. sasa kuna kufuru, dhulma na balaa kuliko enzi za Wakoloni...Mamboleo yalikuwa enzi za ukoloni
Wakoloni walitunyanyasa waafrikaUkoloni gani ndg. Wewe.. sasa kuna kufuru, dhulma na balaa kuliko enzi za Wakoloni...
Mteremko wa mlima kitonga ni mkaliWaafrika tunapenda sana mteremko
Hatari hapo msipite mtoni kuna mambaIjayo itakuwa mechi hatari
Mamba wala watuHatari hapo msipite mtoni kuna mamba
Watu wanaopenda kuogelea na kuvua samaki mtoniMamba wala watu
Sana kuliko Tandika?Mtoni kwa azizi ally ni uswahilini sana
Tandika ulala hapo sebulini, Nami ntalala chumbani kwa biMkubwa.....Sana kuliko Tandika?