Tena nilikwama na tonge la ugali kwenye koo nimesukumizia na majiMnazi tena
Maji hutumika sana kwenye mapishi kama huamini muulize ukhutyTena nilikwama na tonge la ugali kwenye koo nimesukumizia na maji
Ukhuty ndo nani huyoMaji hutumika sana kwenye mapishi kama huamini muulize ukhuty
Huyo ndie ukhuty mzuri mzuriUkhuty ndo nani huyo
Mzuri ktk macho ya mtazamajiHuyo ndie ukhuty mzuri mzuri
Mtazamaji wa kipindi cha mali asili usiwe mbali na Tv yakoMzuri ktk macho ya mtazamaji
Mtazamaji mie nimeona uzuri wa ukhuty tuMzuri ktk macho ya mtazamaji
Yako yanguMtazamaji wa kipindi cha mali asili usiwe mbali na Tv yako
Yangu imepotea haipoYako yangu
Uzuri wa ukhuty tu umeuona kwa avatar umempenda hivyo je ukimuona live si ndo kabisa utatangaza ndoaMtazamaji mie nimeona uzuri wa ukhuty tu
Ndoa ya pili kwangu inawezekana maana nimeruhusiwa hata ndoa nne....!!Uzuri wa ukhuty tu umeuona kwa avatar umempenda hivyo je ukimuona live si ndo kabisa utatangaza ndoa
Ndoa jambo kingine nduguUzuri wa ukhuty tu umeuona kwa avatar umempenda hivyo je ukimuona live si ndo kabisa utatangaza ndoa
Ndugu umeshaamka asubuhi hii, Karibu chai.....Ndoa jambo kingine ndugu
Chai na nini... Nshaamka karibu mjengoniNdugu umeshaamka asubuhi hii, Karibu chai.....
Chai tamu ukila na chapatiNdugu umeshaamka asubuhi hii, Karibu chai.....
Chapati zikinyunyuziwa asali na ukazikunja kama gazeti hapo uanze kutafuna......Chai tamu ukila na chapati
Kutafuna chapati iwe na maharage au supuChapati zikinyunyuziwa asali na ukazikunja kama gazeti hapo uanze kutafuna......