Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Shuka utaikumbuka alfajiri baada ya kukung'twa na baridi......!!Tandika vizur Hilo shuka
Shuka utaikumbuka alfajiri baada ya kukung'twa na baridi......!!Tandika vizur Hilo shuka
San Francisco ni jiji kubwa lenye mitandao ya Flyover huko Umarekani kaskaziniBi mkubwa wangu nampenda san
Mt. Kilimanjaro niliaminishwa na Profesa wa lugha kuwa ni wa Kenya, nilipokuwa college huko US..!!Kaskazini mwa Tanzania kuna Mlima Kilimanjaro.
Wanachuo wa hapa nchini mustakabali wao umekuwa na vuguvugu....Mpinzani haina maana ni movie nzuri kwa maisha ya wanachuo.
Vuguvugu la kuipinga Ile movie bado halina mashikoWanachuo wa hapa nchini mustakabali wao umekuwa na vuguvugu....
Movie nazipenda hasa seriesUS..!! Napasikia na kupaona kwenye magazeti na movie.
Series zinalemaza na kuduwaza, Bora uinuke ukachape kazi ujisiria ndiyo mkomboziMovie nazipenda hasa series
Mkombozi bankSeries zinalemaza na kuduwaza, Bora uinuke ukachape kazi ujisiria ndiyo mkombozi
Mkombozi wa maisha yako ni wewe MwenyeweSeries zinalemaza na kuduwaza, Bora uinuke ukachape kazi ujisiria ndiyo mkombozi
Mwenyewe umeamuwa kuingilia mchezo usipitwe na kunyakuliwa haki yako ukipendacho !!!Mkombozi wa maisha yako ni wewe Mwenyewe
Ukipendacho ndicho kinachoweza kukufanya ufanye jambo kubwa kuliko uwezo ulionaoMwenyewe umeamuwa kuingilia mchezo usipitwe na kunyakuliwa haki yako ukipendacho !!!
Uwezo ulionao ni mkubwa ongeza juhudiUkipendacho ndicho kinachoweza kukufanya ufanye jambo kubwa kuliko uwezo ulionao
Ulionao ni upungufu wa maarifa ya teknologiya....Ukipendacho ndicho kinachoweza kukufanya ufanye jambo kubwa kuliko uwezo ulionao
Juhudi ninazo lakini mafanikio yanachelewaUwezo ulionao ni mkubwa ongeza juhudi