Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Yanayoeleweka ktk taratibu za jikoni ni kumwachia memsapu ndiyo mhusika....Jikoni ukiingia lazima utulize akili ufanye mambo yanayoeleweka
Yanayoeleweka ktk taratibu za jikoni ni kumwachia memsapu ndiyo mhusika....Jikoni ukiingia lazima utulize akili ufanye mambo yanayoeleweka
Mhusika wa hapa ni naniYanayoeleweka ktk taratibu za jikoni ni kumwachia memsapu ndiyo mhusika....
Nani aniambie wapi naweza kupata mke mstaraabu....?Mhusika wa hapa ni nani
Mstaarabu ni Mstaarabu tuNani aniambie wapi naweza kupata mke mstaraabu....?
Mstaarabu tu ndiyo namkaribisha ktk nyumba yangu niliyojenga mwenyewe...Mstaarabu ni Mstaarabu tu
ADK anakaribishwa 24/7 ktk mji wa ZZ uliyopo ghuba ya uajemi ndani ya jiji la Dubai.....Mwenyewe ni Adk
ZZ, mbona hazijaali wala kuzifikiria hizo sheria, yeye anasanya masilahi yake na kusonga mbeleDubai hahahhHa sheria Kali sana huko zz
Mbele kwa mbeleZZ, mbona hazijaali wala kuzifikiria hizo sheria, yeye anasanya masilahi yake na kusonga mbele
CCM, CCN au CCO yote hayo yasitugawe waTZ, siye tubaki na utaifa wenye Uzalendo !!Mbele kwa mbele zaidi ya hawa CCM
Nchi Yangu Tanzania Ni nchi tajiri sanaKujivunia utanzania wangu hata nikiwa nje ya nchi
Nchi inapendeza kwa uwepo wako ukhutyWachache ndo wanaofaidi nchi
Ukhuty wa jf sio wa kama ule wa mnaziNchi inapendeza kwa uwepo wako ukhuty