supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Bongo wahuni wapo temeke, tandale na kigamboniManzese Na Sehemu nyingi za Bongo
Bongo wahuni wapo temeke, tandale na kigamboniManzese Na Sehemu nyingi za Bongo
Mijini kuna machangu wengiWahuni wamejaa mijini.
Bongo wahuni wapo temeke, tandale na kigamboni
Wengi wapewe wachache wasikilizweMijini kuna machangu wengi
Mijini kuna machangu wengi
Wako waliojiingiza kwenye biashara hiyo kutokana ugumu wa maisha na wengine tamaaWengi machangu Basi lazima watateja wako
Raha zake kama zipiZiwani kuna raha zake
Fisi anakula mizoga ya nyamaTamaa ilimponza Fisi.
nyama imepanda bei mabuchani.Fisi anakula mizoga ya nyama
Zawadi mpaka uwe mshindinimeshinda jamani nipeni zawadi
Mabuchani nyama ya kawaida bei nafuu kuliko maini ya ng'ombenyama imepanda bei mabuchani.
Wafugaji hawajatengewa maeneoNg'ombe nichanzo cha migogoro ya wakulima na wafugaji.
Muda huu wa mchana wa saa 7 jua kali kuna jotoMaeneo ya mbagala kuna vurugu muda huu
Hiki ni kipindi cha baridiJoto limeshaanza, ndio kipindi chake hiki