supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
ina mvuto inapokuwa laini, haina chunusi wala vipeleNgozi nyororo ina mvuto
ina mvuto inapokuwa laini, haina chunusi wala vipeleNgozi nyororo ina mvuto
Mukabala kwa watoto wanaochezea vumbi na maambukizi ya vipeleMvuto siyo ngozi Ndg. Atug !! power of attraction inakuja ktk form ya mukabala....
Form ya mukabala unamaanisha niniMvuto siyo ngozi Ndg. Atug !! power of attraction inakuja ktk form ya mukabala....
Vipele vingine vya jotoina mvuto inapokuwa laini, haina chunusi wala vipele
Joto likiwepo likichanganyikana vumbi, uchafu na jasho ngozi inakuwa na muwashoVipele vingine vya joto
Muwasho dawa yake ukunweJoto likiwepo likichanganyikana vumbi, uchafu na jasho ngozi inakuwa na muwasho
Ukunwe hadi ukurutu wote utoweke ndiyo upakae cream ya kupozesha.....Muwasho dawa yake ukunwe
We unatakiwa kuoga na sabuni yoyote medicated na kuweka mwili safiMuwasho dawa yake ukunwe
Nini kamaanisha?hujajua?Form ya mukabala unamaanisha nini
huyo anaingia kwenye utani wa 
Utani wa kupambana kiswahiba ni lazima muchafuane kwanza ndipo mkaoge ziwani....Nini kamaanisha?hujajua?huyo anaingia kwenye utani wa
![]()
Ziwani kuna raha zakeUtani wa kupambana kiswahiba ni lazima muchafuane kwanza ndipo mkaoge ziwani....
Zake zilihesabiwa zikawa pungufu hakuweza kuchaguliwa, ila za kaka yake zilitimia...Ziwani kuna raha zake
Zilitimia mahesabuZake zilihesabiwa zikawa pungufu hakuweza kuchaguliwa, ila za kaka yake zilitimia...
Mahesabu yalimpoteza ofisa wa ushuru forodhani.....Zilitimia mahesabu
forodhani Dar kunanuka hatari...Mahesabu yalimpoteza ofisa wa ushuru forodhani.....
Hatari ipo kila kona katika nchi inayoendeshwa na watumishi wababishaji na wahuni !!!forodhani Dar kunanuka hatari...
Utani wa kupambana kiswahiba ni lazima muchafuane kwanza ndipo mkaoge ziwani....
TAWIRE
Wahuni wengi tupo nao manzeseHatari ipo kila kona katika nchi inayoendeshwa na watumishi wababishaji na wahuni !!!
Hatari ipo kila kona katika nchi inayoendeshwa na watumishi wababishaji na wahuni !!!
Wahuni wengi tupo nao manzese