Mtu anaweza kuwa mbaya wa sura lakini ana roho nzuriTatu jina la mtu
Tano
Namba 7 ni ya christian ronaldoTuesabu namba
Roho nzuri mtu amezaliwa nayoMtu anaweza kuwa mbaya wa sura lakini ana roho nzuri
Nayo atawarithisha watotoRoho nzuri mtu amezaliwa nayo
Watoto hujifunza tabia kutoka kwa watu wanaowazungukaNayo atawarithisha watoto
Wanaowazunguka inabidi wawe na tabia nzuri pamoja na maadiliWatoto hujifunza tabia kutoka kwa watu wanaowazunguka
Mrija tunanywea konyagiVinywaji hatutumii mrija
Maadili mema kwa jamii ndo inayotakiwaWanaowazunguka inabidi wawe na tabia nzuri pamoja na maadili
Inayotakiwa ni kuhakikisha waalim, viongozi wadini na wazazi wanashirikiana pamojaMaadili mema kwa jamii ndo inayotakiwa
Pamoja tunawezaInayotakiwa ni kuhakikisha waalim, viongozi wadini na wazazi wanashirikiana pamoja
Tunaweza kumjengea mazingira mazuri katika maadili, elimu na afya ya mtotoPamoja tunaweza
Mtoto umleavyo ndivyo akiavyoTunaweza kumjengea mazingira mazuri katika maadili, elimu na afya ya mtoto
Akuavyo inabidi uwe karibu nae lakini usimdekeze sana kupita kiasi na akikosea zaidi hakuna budi kumchapa fimboMtoto umleavyo ndivyo akiavyo
Fimbo inapobidi.. Maana hata katika maandiko matakatifu imesema usimnyime mtoto wako mapigo maana ukimpiga kwa fimbo hata kufaAkuavyo inabidi uwe karibu nae lakini usimdekeze sana kupita kiasi na akikosea zaidi hakuna budi kumchapa fimbo
Kufa kufaana, huwezi amini mtoto wako akiharibikiwa jirani anafurahiFimbo inapobidi.. Maana hata katika maandiko matakatifu imesema usimnyime mtoto wako mapigo maana ukimpiga kwa fimbo hata kufa
Anafurahi maana siku hizi Upendo wa wengi umepoaKufa kufaana, huwezi amini mtoto wako akiharibikiwa jirani anafurahi