dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
Tope haliwezi tokea mpaka inyeshe mvuaKupika hata mimi naweza ila wali nikipika utakua kama tope.
Tope haliwezi tokea mpaka inyeshe mvuaKupika hata mimi naweza ila wali nikipika utakua kama tope.
Huyo anauliza nani auza barafu kwny huu uzi,Barafu lazima tuulizie maana joto lishaanzaAnauza nini huyo
Tu tu tuliaSielew elewi hapa naon gia znachenjiwa tu
Tulia na utege sikio vizuri ili ufahamu sababu ya gia kuchenjiwa kiutaalam kama hiviTu tu tulia
Mvua tu?uko mkoa gani ukhuty?mbona huku kwetu singida kukavuLishaanza huko kwenu huku kwetu ni mvua tu
Kukavu kwenu Singida kwa vipi, ebu fafanua isije kuwa ni nahau!Mvua tu?uko mkoa gani ukhuty?mbona huku kwetu singida kukavu
Kiza kishatanda muda wa kulalaNahau huzijui usituharibie utamu wa mchezo,usilolijua ni ucku wa kiza![]()
Kulala laleni tu,Me niko na shori wangu tunakula kuku kwa mrijaKiza kishatanda muda wa kulala
Mrija wa kunywea vinywajiKulala laleni tu,Me niko na shori wangu tunakula kuku kwa mrija
Vinywaji hatutumii mrijaMrija wa kunywea vinywaji
Mrija tunatumia kumla kuku,wana JF mmelala??weekend yamipita hivi hiviVinywaji hatutumii mrija
Hivi kwanini mchuzi unawekwa chumvi badala ya sukariMrija tunatumia kumla kuku,wana JF mmelala??weekend yamipita hivi hivi
Thanks ma pipo and everybadi kwenye mtv mama alisema wizkidSukari ni tamu lakini kuna mwanaJf anajina kinyume chake lakini aipenda na vinywaji, kwa vipi salthanks!