supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Wa kienyeji ule na pilau, chips, biriani au ugaliHawana ladha kama wa kienyeji
Wa kienyeji ule na pilau, chips, biriani au ugaliHawana ladha kama wa kienyeji
Ugali siupendiWa kienyeji ule na pilau, chips, biriani au ugali
Siupendi unga wa sembe napenda dona, kwann hupendi ugali wakati ndo chakula chetu watanzania, je wali?Ugali siupendi
Wali napenda,ndizi piaSiupendi unga wa sembe napenda dona, kwann hupendi ugali wakati ndo chakula chetu watanzania, je wali?
Wali sipendi sana,Me napenda ugali tena napendelea wa donaSiupendi unga wa sembe napenda dona, kwann hupendi ugali wakati ndo chakula chetu watanzania, je wali?
kuliko wa sembeSembe pia ni unga unaotokana na mahindiWali sipendi sana,Me napenda ugali tena napendelea wa dona![]()
kuliko wa sembe
pia sungura alisema sizitaki mbichi hiziWali napenda,ndizi pia
pia sungura alisema sizitaki mbichi hizi
Baadae tutaendelea,sasa hivi ni muda wa misosiHizi minazipenda ila supermarket umejaaliwa Kwa madua makali.Ilibidi NI kopi ili NI pesti baadaye
Misosi mitamu ule muhogo wa kuchomaBaadae tutaendelea,sasa hivi ni muda wa misosi
Kuchoma mihogo ni bora kiafya kuliko kuikaangaMisosi mitamu ule muhogo wa kuchoma
Kuikaanga madhara yanapatikana sababu ya mafutaKuchoma mihogo ni bora kiafya kuliko kuikaanga
Hizi minazipenda ila supermarket umejaaliwa Kwa madua makali.Ilibidi NI kopi ili NI pesti baadaye

Kuikaanga madhara yanapatikana sababu ya mafutaKuchoma mihogo ni bora kiafya kuliko kuikaanga
Mafuta ndio yanashika uchumi wa duniaKuikaanga madhara yanapatikana sababu ya mafuta
Dunia duaraMafuta ndio yanashika uchumi wa dunia
Duara, mraba, mstatili na pembe tatuDunia duara
Tatu jina la mtuDuara, mraba, mstatili na pembe tatu